Wednesday, October 5, 2016

Our competitive Rates


Enjoy our competitive rates, that will Guarantee Creativity and observe professionalism

Friday, September 16, 2016

Ofa Kabambe Kutoka GV Studios

GV studios wadhamini wakubwa wa kipindi cha "Hizi Nazo", kinachorushwa na Redio WAPO kila alhamisi, wanakuletea zawadi murua, wewe mwimbaji wa nyimbo za injili.

Katika kusherekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake GV Studios, Kwa mara ya kwanza kabisa wanakuletea ofa kabambe ambapo unaweza kujishindia nafasi moja (1) ya kurekodi albam moja ya kwaya Bure na wengine kutapata nafasi nne (4)za kurekodi albam kwa punguzo la bei ambalo halijawahi kutokea. Kwa albamu ya dakika 60 utarekodi kwa shilingi laki mbili tu. Ofa hii itakuwa ni kwa mwezi Septemba 2010. Sikiliza kipindi cha "Hizi Nazo", kila alhamisi kutoka katika studio za WAPO Radio FM. Vile vile tembelea Studio zetu zilizopo Mbezi beach eneo la Tanki Bovu au Piga simu Namba 0767 419982 unaweza pia kutupata kwa simu namba 0784419982.
Changanka!!